Unajua sadali kiume anaweza kulindwa zaidi kwa kuwa kuna kundi kubwa la wateja wake wanaotoka kwenye jinsia yakeWanawake tumekuwaje?
Kuna binti toka kaskazini alikuwa anafanya sana hii chuoni sijawahi kusikia amechomwa, ata kijana alikuwa na wateja wengi tu wa kike na hakuna shida yoyote! Vitu vingine ni coincidence sio kama wanawake ndivyo tulivyo🙄Unajua sadali kiume anaweza kulindwa zaidi kwa kuwa kuna kundi kubwa la wateja wake wanaotoka kwenye jinsia yake
Tukija kwa sadali wa kike watu wa jinsia yake wengi sio wateja wake kwa uhalisia uliopo kwahiyo anapata kundi kubwa la wanaompinga kuliko wasiompinga
Basi tuseme ni wadada wa Kenya ndiyo wana wivu ila nyie wa huku hamna hizo pigoKuna binti toka kaskazini alikuwa anafanya sana hii chuoni sijawahi kusikia amechomwa, ata kijana alikuwa na wateja wengi tu wa kike na hakuna shida yoyote! Vitu vingine ni coincidence sio kama wanawake ndivyo tulivyo🙄
Hahhaaa stop sugar coating us, wapo watu waongo haijalishi jinsiaBasi tuseme ni wadada wa Kenya ndiyo wana wivu ila nyie wa huku hamna hizo pigo
Ila ukwel ni kuwa biashara kama hizi akipiga mwanamke tena mwenye marafiki wa kike ni rahisi kurisk kuliko mwanaume mwenye marafiki wa kiumeHahhaaa stop sugar coating us, wapo watu waongo haijalishi jinsia
Dahh itakuwa kweli basiIla ukwel ni kuwa biashara kama hizi akipiga mwanamke tena mwenye marafiki wa kike ni rahisi kurisk kuliko mwanaume mwenye marafiki wa kiume
Kwakuwa umeelewa acha nirudi kwenye Uzi wa chumvi ya mawe 😁Dahh itakuwa kweli basi
Umbeaaa kijana wanguKwakuwa umeelewa acha nirudi kwenye Uzi wa chumvi ya mawe 😁
Hamna naenda kuchukua mbinu kule kama zinanifaa niishi nazoUmbeaaa kijana wangu
Njoo uondoe mikosi😆Hamna naenda kuchukua mbinu kule kama zinanifaa niishi nazo
Wapi huko 😁Njoo uondoe mikosi😆
Duhh una shida gani ingine tena mkuu! Itabidi uoge na muosha fedha sasa🙄Ndugu pdidy nimequote katika hii comment naomba msaada tafadhari
View attachment 3536075
Kwenye uzi wa chumvi ya mawe😂Wapi huko 😁