Mwanachuo mwaka wa 4 akutwa na misokoto 650 ya bangi bwenini

Taratiibu atakutana na watoa misaada muache siku haijaisha๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

We mshauri aoge maji ya betri
Mi ntamshauri aoge maji ya maharage..
Daah ila mwamba anaonekana anashida kweli subir Akileta mrejesho miaka mia ijayo ๐Ÿ˜–
 
Wakenya na madawa ya kulevya
Wakenya na kazi za nje(nchi za nje)
Wakenya ni watu jasir sijapata ona wako kama wanigeria

Kwenye nchi yangu....................๐Ÿคช
 
Maisha hayana formula kijana๐Ÿ˜† mi ni muajiriwa kwa mzee mshana na ni muimba praise kanisani! Nikiacha kazi nitakula wapi๐Ÿ™„
Muhimu unapanda ndege kila usiku Kwahiyo ni kuenjoy tu life
 
Watu wakaskazini mnatuonaje๐Ÿ’ช
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tofaut Yao ni ipi?
tofauti yao wakikuyu wanaweza kukuibia kama kikundi wakaenda gawana, ila watu wakaskazini wanaweza kukuibia kama kikundi , ila mmoja akapiga hesabu za kuwageuka mwenzake hata kwa kuwapiga shoka la kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ