Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

the only thing we can do now is guess coz we have very little information from the thread starter.
Please come back with details as soon as you get them.
 
Jamani tuache kutafuta majibu mepesi mepesi wakati inshu ya kufikia mtu kujitoa uhai wake ni kubwa sana,tulieni kuna JF members wengi sana kule Mwanza watatuambia chanzo kamili cha kifo cha huyo aliyekuwa msomi wa SAUT
 
Inasikitisha sana, naomba yasiwe maswala ya mapenzi maana inauma sana mtu kujitoa uhai wake wakati wazazi wamemuangaikia toka mchanga alafu anakutana na mtu mtu baki tu eti hawezi kuishi bila yeye.

Mkuu hivi unajua le mutuz ameshawai kunywa sumu zaidi ya mara tatu kisa ugomvi wa mapenzi unaotokana na fedheha za wapenzi wake kumtangazia kwa mabest zake kuwa hawezi shuhuli ya kikubwa.
Kuna watu hawapendi kuishi kisa mambo ya kijinga sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
We akenajo,huyo yuko motoni hivi tunavyoongea,mungu hawezi kumpa mahali pema peponi,jama katenda dhambi ya kujiua haijalishi chanzo ili kuwa nini.
 
mungu ampe pumziko la amani
Kweli Watanzania tuna kazi sasa wewe ndugu yangu huyu mwanafunzi kajiuwa then unamwambia mungu ampe pumziko la milele kivipi tena wakati kajiua?
 
we akenajo.mwogope Mungu.jamaa huyo yuko motoni hiv tunavyoongea.katenda dhambi ya kujiua.end of story.

Acheni kuishi kama tamthiliya ya KUSADIKIKA,nani alikwambia yuko motoni sasa,kazi kutisha tu wenzenu,
 
Nimejikuta nimekumbuka Ujumbe huu;

CAUSE OF SUFFERING (DUKKHA) {From Buddha's wisdom}

Many sentient beings, in particular people, are attached to and crave things for self-gratitude and enjoyment. Example of things people crave and are attached to include honor, body, eternal life, worth, relatives, friends, ideas, concepts, religions, world, fame, etc. Due to this, they fail to realize the true purpose of life. No one in the world wants to be poor or be considered an underdog. In the process of craving, people create suffering for themselves. They try the best they can to fulfill their desires. If they fail, they get worried; as a result, weak-minded, ignorant people reach the point of committing suicide.
 
saut ina matawi mengi...wapi sasa sio unatoa taarifa robo robo tu..kama huna uhakika unapotezea sio lazima uripoti taarifa nusu
 
Poleni wanafamilia na wanSAUT kwa msiba. Pumzika kwa amani.
 
Ni kweli hii taarifa na shuhuda wamedai ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,kitivo cha elimu.Taarifa za awali zinatanabaisha kwamba kijana huyo alibaki chumbani peke yake na aliagana vizuri na mwenziwe (wa kiume) aliyekuwa ameelekea lecture.Rafiki yake aliporudi ndipo alipokuta mwenzie amejitundika.Eneo alilokuwa anakaa ni jirani ya eneo wanapopaki pikipiki juu ya hostel ya Lema (ghorofa linaloendelea kujengwa).Kwa maelezo mengine ni kama mita 150 magharibi-kaskazini mwa hostel ya Masha.Polisi kwa kushirikiana na uongozi wa chuo wameutwaa mwili wa marehemu na kuupeleka chumba cha kuhifadhia maiti huku uchunguzi juu ya chanzo kujitoa uhai ukiendelea.Taarifa kamili itakatolewa na wahusika italetwa hapa jamvini
 
Back
Top Bottom