Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

Chanzo bado hakijafamika ila tutaleta taarifa muda si mrefu tunasubia polisi kufika eneo la tukio ili tupate habari za uhakika zaidi

yaani polis ndo waje wawape taarifa wakati nyie mpo eneo la tukio?. Get serious.........
 
Huyo MUNGU kuna siku mtatoa maelezo ya hizo amri mnazompa kila leo...!

Mwenyekiti taratibu!
Kuna matukio ktk maisha yanakuacha speechless. Mungu anakuwa kimbilio.
 
Mwenyekiti taratibu!
Kuna matukio ktk maisha yanakuacha speechless. Mungu anakuwa kimbilio.

Sikatai Ennie , lakini utakuta mtu kajiua, kauwawa akiiba, kauwawa akiwa anazini na mke watu, au ananajisi katoto bado kuna watu watamwamrisha MUNGU amlaze pema peponi, ndo maana nasema kuna siku atamba maelezo
 
Last edited by a moderator:
Saint Ivuga. Jina lake ni Ernest Atanas lakini bado taarifa za kabila lake hazijatolewa.Ila siku hizi kujinyonga hakuhitaji kuwa kabila fulani,hiyo ni fallacy tu mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Saa hii huko aliko anajuta, na atabaki hivyo katika mateso milele na milele.
 
Saa hii huko aliko anajuta, na atabaki hivyo katika mateso milele na milele.

Dah mkuu laiti ungejua uzito wa haya maneno yako naamini wewe mwenyewe ungechukua muda wa kukaa na kutafakari sana juu ya maisha haya ya kuharibika tena mafupi na ya mateso hapa duniani

TUNAPASWA kutafakari sana na kuchukua hatua juu ya utayari wetu wa kurithi maisha yasiyo haribika, ya milele katika Mungu aliye mkuu

hata hivyo tumuombee mwenzetu kwa kusema RIP
 
Sikatai Ennie , lakini utakuta mtu kajiua, kauwawa akiiba, kauwawa akiwa anazini na mke watu, au ananajisi katoto bado kuna watu watamwamrisha MUNGU amlaze pema peponi, ndo maana nasema kuna siku atamba maelezo
Haya bwana zidumu fikra za Mwenyekiti.
 
Inasikitisha sana, naomba yasiwe maswala ya mapenzi maana inauma sana mtu kujitoa uhai wake wakati wazazi wamemuangaikia toka mchanga alafu anakutana na mtu mtu baki tu eti hawezi kuishi bila yeye.
Au kapokea majibu yake ya damu? RIP dent!
 
Dah mkuu laiti ungejua uzito wa haya maneno yako naamini wewe mwenyewe ungechukua muda wa kukaa na kutafakari sana juu ya maisha haya ya kuharibika tena mafupi na ya mateso hapa duniani

TUNAPASWA kutafakari sana na kuchukua hatua juu ya utayari wetu wa kurithi maisha yasiyo haribika, ya milele katika Mungu aliye mkuu

hata hivyo tumuombee mwenzetu kwa kusema RIP

BIBLIA inasema "Mara tu baada ya kufa ni hukumu" KWA MSINGI HUU HABARI ZA KUMUOMBEA MFU NI KUKOSA UFAHAMU JUU YA UKWELI HUU. Cha msingi kwa kila mmoja wetu ni kila nukta ya muda tuliopewa kuishi hapa Duniani kujipima kama tunaishi sawa na maelekezo ya neno la Mungu atakavyo, ili kama tukikata roho sasa hivi tuwe salama tuendako, GOD BLESS.
 
Back
Top Bottom