Chanzo bado hakijafamika ila tutaleta taarifa muda si mrefu tunasubia polisi kufika eneo la tukio ili tupate habari za uhakika zaidi
mungu ampe pumziko la amani
Huyo MUNGU kuna siku mtatoa maelezo ya hizo amri mnazompa kila leo...!
Mwenyekiti taratibu!
Kuna matukio ktk maisha yanakuacha speechless. Mungu anakuwa kimbilio.
Ni mhehe?
Saa hii huko aliko anajuta, na atabaki hivyo katika mateso milele na milele.
Au kapokea majibu yake ya damu? RIP dent!Inasikitisha sana, naomba yasiwe maswala ya mapenzi maana inauma sana mtu kujitoa uhai wake wakati wazazi wamemuangaikia toka mchanga alafu anakutana na mtu mtu baki tu eti hawezi kuishi bila yeye.
Dah mkuu laiti ungejua uzito wa haya maneno yako naamini wewe mwenyewe ungechukua muda wa kukaa na kutafakari sana juu ya maisha haya ya kuharibika tena mafupi na ya mateso hapa duniani
TUNAPASWA kutafakari sana na kuchukua hatua juu ya utayari wetu wa kurithi maisha yasiyo haribika, ya milele katika Mungu aliye mkuu
hata hivyo tumuombee mwenzetu kwa kusema RIP