Mwanachuo wa mwaka wa kwanza SAUT Mwanza amejinyonga leo asubuhi

angeacha memo huyu badala ya kuwapa watu kazi ya kuhoji sababu ya kifo chake
 
Inasikitisha sana,ngoja taarifa za uchunguzi kama zitarudi
 

Baada ya kufa kwel ni hukumu ila siyo pale utakapo kata tu roho hapana ila ni muda ule ambao Yesu atakapo rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…