Mwanadada Lisa ambaye alikuwa mke wa ndoa wa Msanii Mabeste ameachwa na mpenzi wake ambaye alikuwa rafiki wa Mabeste

Kweli uzuri wa Mwanamke upo machoni mwa muoaji

Pamoja na Uzee nilionao, siwezi kumpiga chini Lissa kwaajili ya hilo Yotoung πŸ™Œ
Dogo amekua hata wewe na uzee wako unaosema unao ungekuwa kwenye nafasi ya dogo huyo Lisa ungemuona malaya tu ukabeba hiyo yutong.

Amejiuliza kama alikubali kuvunja ndoa na mumewe wa zamani haitakuwa hivyo na kwake siku akimuona anaemfaa zaidi?dogo amekaa kijanja hajakaa kizembe.
 
Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtazamaji mkuu

Watu pia wanaoa zaidi ya muonekano
Nakubaliana na wewe

Ndoa ni zaidi ya muonekano na uzuri

Anyways, Mimi napenda full package

Mwonekano, akili, tabia, flexibility na utundu wa kitandani, sio Kila siku missionary tu, ukiambiwa tujaribu na hii unasema Mungu hapendi πŸ™Œ
 
Mimi pia nimehisi hilo kosa ndilo limemuhukumu nalo

Kitendo cha kuacha ndoa na kwenda kwa Mwanaume mwingine kitamgharimu sana huyo Lissa

Lakini kwa uzuri, naona huyo bonge ameachwa mbali sana na Lissa
 
Wenzako wanataka zongtong double tyre, uhakika wa safari za masafa marefu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shida ya hizo Zongtong ni kuchoka haraka

Labda Mwanaume awe legelege

Akiwa wa kazi kazi, atampa sababu ya kutafuta mbadala

Kwa uzoefu wangu wa tangu mwaka 47, asilimia 85 ni wachovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…