Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Gym zipo, mwili mkubwa wa hivyo sio mzuri sanaMsitufanyieivo
Unaweza kufanya upoteze hata umbo lile la mwanzo mumeo lilimvutia nalo
Ikaambatana na uvivu wa kumpea
Wanaume tunachelewa kuzeeka si mnajua 🤪