Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

mood off
 
ina mana ana two sex organs???
Matokeo ya uchunguzi yalimkuta ana uke, na hivyo hana uume, hana mayai ya kike ila ana kokwa za kiume (ambazo hazikuweza kushuka chini kuwa pumbu). Kokwa hizi zinatoa kichocheo cha tetratrone ambayo inampa Caster ujasiri wa kiume kutokea ndani lakini kwa umbile huko chini ni mwanamke hana uume na hakojoi shahawa na hivyo hawezi kutia mimba!!! Nawasilisha!
 
Mbona sijaelewa hapa jamani, naomba kueleweshwa
 
Mkuu hapa umetutia chaka...
 
Huyu si alikuwa Hermaphrodite(Alizaliwa na jinsia mbili) kwahiyo Kama aliambiwa yuko zaidi kwenye uanaume ni sawa kuwa mwanaume sio kosa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…