Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Mwanadada mwanariadha Caster Semenya akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa

Shemale is somebody born as a man and became a woman, no matter she does or doesn't has a penis. On the case of Semenya things are totally different... Okay umesema unasikia. Ndio maana ninakwambia Semenya data zake zipo kwenye internet kwanini ukae kusikia Tu? Google.
mood off
 
ina mana ana two sex organs???
Matokeo ya uchunguzi yalimkuta ana uke, na hivyo hana uume, hana mayai ya kike ila ana kokwa za kiume (ambazo hazikuweza kushuka chini kuwa pumbu). Kokwa hizi zinatoa kichocheo cha tetratrone ambayo inampa Caster ujasiri wa kiume kutokea ndani lakini kwa umbile huko chini ni mwanamke hana uume na hakojoi shahawa na hivyo hawezi kutia mimba!!! Nawasilisha!
 
Shemale is somebody born as a man and became a woman, no matter she does or doesn't has a penis. On the case of Semenya things are totally different... Okay umesema unasikia. Ndio maana ninakwambia Semenya data zake zipo kwenye internet kwanini ukae kusikia Tu? Google.
Mkuu hapa umetutia chaka...
 
Huyu si alikuwa Hermaphrodite(Alizaliwa na jinsia mbili) kwahiyo Kama aliambiwa yuko zaidi kwenye uanaume ni sawa kuwa mwanaume sio kosa lake.
 
Back
Top Bottom