Na lengo la kuleta dini kutawala na si kwamba walikua wazuri sana wa kutaka sisi waafrika tukale bata huko wakoita peponi..thats why wachina leo wako mbali kiuchumi sababu ya misingi iliyowekwa na Mao siku hizo hakutaka kusikia watu wake wanaambiwa habari ya "kwa neema"...yeye aliamini mtu atapata gud tym kwa juhudi zake mwenyewe!!!!alichinja sana wamisionari...!!!
Sheria ni kitu ch akuchekesha sana.Ukiheshimu sheria 100%huna space ya kuzuia hata kitu kinachoumiza jamii.Ndio maana ulaya seria inatumika watu wanashindwa zuia mashoga kupeta kihivyo.Halafu kesho yake wanakuja kuhubiri mwanao ushoga wao.Hakuna cha Padri wala shehe, wala mchungaji anaweza zuia hilo, na kanisa linalokataza linaweza futiwa leseni kwa kutoheshimu haki za binadamu(mashoga).Waarabu wameweza kwa vile kwao kuvunja na kuweka sheria sio kazi.Ndio sheria zao zinachagua wa kuzifuata.Wafalme hawazifuati labda siku wakionja ya ghaddafi.
Mungu naye ili awe mwema na wa haki inabidi aheshimu sheria alizoziweka mwenyewe.
Hata huko kuziheshimu "alipanga" yeye kwakuwa anajua yote hata yajayo.
Kwake hakuna ajari, "kila kitu" ni mpango na kinafuata order.
Hata huko kuziheshimu "alipanga" yeye kwakuwa anajua yote hata yajayo.
Kwake hakuna ajari, "kila kitu" ni mpango na kinafuata order.
Sidhani kama kuna kitu kinapingana na logic hapa.Tatizo ni wewe katik mindset yako huna space ya kuona vitu vilivyo nje ya common sense.Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu ambavyo havielezeki tena kupitia hizi chemistry na physics wanazoziita classics.wakati watu wengi wakidhani kuwa ngono ni lazima au hata kuwa na mwenza ni lamiza tayari sayansi inaonyesha kuwa ngono kwa baadhi ya viumbe imewekwa kama motivation ya kuzaana na kuweka wazazi pamoja kulea uzao wao.Sidhani kama Mungu nahitaji ngono.Acha tu mungu kuwa nafsi hai, wenzetu wanasema ziko 3 katika mungu mmoja.
But still hiyo christian theology ni histiria ile ile ya kwenye biblia ambayo hamuielewi...na pia nafikiri lengo la Mungu kujitambulisha kwa mujibu wa hiyo unayoiita christian theology ni kufahamika kwa watu wake na unaposema lazima awe very complex kiasi cha kutofahamika na mwanadamu naona kama unajichanganya naomba tulia vizuri utafakari tena kwa kina...Mungu sio Muuza sura kwamba ajitokeze kwa lengo la kutambulika then tena awe very complex kutambulika,kama angetaka kutofahamika angekausha tu huko huko alikokua ili aendelee kua complex.
Na lengo la kuleta dini kutawala na si kwamba walikua wazuri sana wa kutaka sisi waafrika tukale bata huko wakoita peponi..thats why wachina leo wako mbali kiuchumi sababu ya misingi iliyowekwa na Mao siku hizo hakutaka kusikia watu wake wanaambiwa habari ya "kwa neema"...yeye aliamini mtu atapata gud tym kwa juhudi zake mwenyewe!!!!alichinja sana wamisionari...!!!
Nicholas umeimaliza kabisa evolution.But unafaham kuwa wanasayansi wanadai evolution is no longe a theory is fact?Wanadai imethibitishwa binadamu hajaumbwa tena kwa ushahidi wa DNA, Kiranga ataweza nisaidia hili kwa ufafanuzi.Wanadai,Man is a result of 4 billion years of evolution,intelligent man is about 40,000 years old and as a civillized creature is barely 4,000(approximately)years old.Wanasema kipindi hiki cha miaka 4000 ndipo story za Mungu zilipoanza kusikika!Sasa hawa jamaa wanapodai ni fact wanamaanisha nini,na kama mabaki ya safina yamepatikana inaonekana evolution sio fact any more!
hata mtu rahisi anaweza fiki kama evolution ingekuwa real basi pangekuwa na miafano mingi hai ya viumbe ambao wangekuwa njiani kueleke walipo wengine.Angalau tungekuwa na nyani wanaongea.pamoja na kuwepo karibu na binadamu kwa miaka yote bado zoezi la wao kuhamia stage nyingi halijafanikiwa.Na pasingekuwa na viumbe kutoweka.
Nicholas umeimaliza kabisa evolution.But unafaham kuwa wanasayansi wanadai evolution is no longe a theory is fact?Wanadai imethibitishwa binadamu hajaumbwa tena kwa ushahidi wa DNA, Kiranga ataweza nisaidia hili kwa ufafanuzi.Wanadai,Man is a result of 4 billion years of evolution,intelligent man is about 40,000 years old and as a civillized creature is barely 4,000(approximately)years old.Wanasema kipindi hiki cha miaka 4000 ndipo story za Mungu zilipoanza kusikika!Sasa hawa jamaa wanapodai ni fact wanamaanisha nini,na kama mabaki ya safina yamepatikana inaonekana evolution sio fact any more!
Nyani Ngabu unanionea kuniuliza hilo swali,nadhani wanaoijua evolution ndo wanaweza kujibu hilo swali kuwa kwanini ikawa billion na isiwe trillion,mi nimekopi kilichoandikwa kwenye tafiti zao sijui sana,labda wenye ufahamu na hiyo kitu kama akina Kiranga na Kichuguu wanaweza kutoa jibu litakaloleta maana!
The answer is, because the billion range is commensurate with our current advancement and consistent with available scientific theories.
Commensurate in what way(s)?
And is it one billion? two billion? one hundred billion? or just billion?
Consummerate timewise.
And when considering "binadamu" one may need to further specify on whether they are referring to the specific evolution of our species as it is now or the evolution of our species from the beginning of life.
So do you concede that that 'billion' number is an estimate?
And be modest enough to note that there is a lot of unclear things still being researched when it comes to the details, but the overall picture, that evolution is more or less as close to factual as any major acceptable scientific theory, is established.
Consummerate timewise.
And when considering "binadamu" one may need to further specify on whether they are referring to the specific evolution of our species as it is now or the evolution of our species from the beginning of life.
And be modest enough to note that there is a lot of unclear things still being researched when it comes to the details, but the overall picture, that evolution is more or less as close to factual as any major acceptable scientific theory, is established.
Nyani Ngabu hates all scientific theories: speak of photosynthesis or gravity and you will hear his noise. All he believes in is some bogus creation called "Intelligent Design"