Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Wapi alisema yeye ni mungu?

jw library
 
Huitaji kusoma tafiti kujua kuwa binadamu hatumii uwezo wake wote mfano mzuri hupo hapa Tanzania Amna karibia wote tuna historian ya kutupa makopo chini baadala ya kwenye dustbin
 
Ni nadharia nzuri sana! inamfanya binadamu asikate tamaa katika kutafuta suluhisho la matatizo mbalimbali katika Maisha!
Sidhani kama inaukweli! Mtu anapofanya jambo lolote lile anatumia akili yake yote! The Whole Brain works.
Akili ya binadamu sio Flash driver! Kwamba inaukubwa wa GB 100! na binadamu ameweza kutumia GB 10 tu mpaka sasa!
Hii ni sawa na msemo wa Wayahudi wa kuwakejeli Waarabu! Eti! Ubongo wa Myahudi sokoni bei yake ni Shekeli 1 Wakati Ubongo wa Mwarabu Sokoni ni Shekeli 10.
Mantiki yake Myahudi ubongo wake ulishachuja kwa matumizi,wakati ubongo wa mwarabu bado mbichi kabisa haujawahi kutumika ipasavyo.(Useful).
 
Tutumie uwezo wetu wa akili tuliokuwa nao kwa vizuri zaid kisha tujiulize, kwann matatizo yasiyo onekana kama mashetani huwa tunaomba msaada kwa mwnyzmungu ambaye haonekani, na matatizo huondoka?

Basi ni hiviiii....kama kisichoonekana kinaweza kuzuiwa na kisichoonekana basi ni wazi kuwa vyote hivyo vipo.
 
Mkuu wewe ulkuwa na suggestion zipi

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

 
Hii concept ya kiroho haina tofauti na ile ya kusema amini vitabu vyake, malaika wake, amini siku ya mwisho.
Alafu ndio tuanze kukubrainwash ili usiwe na maswali ambayo watadai unamkufuru Mungu....
Binadamu ana utaratibu wa kujudge kipi ni kweli na kipi si kweli... Ukimwambia mtu asome mathayo ngapi hiyo sio proof ya kilichoandikwa ni kweli.

Unawezaje kujustify/verify kwa mtu kwamba bible au quran au any book imecontain only and the only truth na kwamba ndio ina mambo yasiyoonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na huo ndio udhaifu mkubwa...
Kama Mungu alitaka sisi tusitofautiane basi hasingetumia njia hii ambayo ina mikanganyiko chungu nzima, na hii kwa mtazamo wangu naona kwamba yanayosemwa yanamcontradict huyo Mungu..... Kwenye hili Mungu hana cha kumlaumu binadamu kwamba kwanin hakumuamini kupitia quran au biblia .

Ni kwanin usingetumika utaratibu wa kumjua Mungu uwe ni kama vile wa kwenda haja, tungezaliwa ubongo wetu ukiwa tayari na informations za kumuhusu yeye..

Kinyume cha hapo kitendo cha kuamini Mungu kinakuwa ni option kwani whether unamuamin au haumuamini tutaishi na kufa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi agano ukilivunja wewe ndio linakuwa limevunjwa na your siblings??
Unajua sisi ni uzao wa ngapi tangu makubaliani ya maagano yalipofanyika.

How come tunawekwa kwenye kundi moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahoji ni kwanini Mungu angeumba binadamu kama roboti halafu hapo hapo unahitaji uwe na uwezo wa kuchagua mambo....

Nani anajikinza sasa hapa?

Mengine hata tukijadiliana hapa hatutaelewana kamwe....
 
Unahoji ni kwanini Mungu angeumba binadamu kama roboti halafu hapo hapo unahitaji uwe na uwezo wa kuchagua mambo....

Nani anajikinza sasa hapa?

Mengine hata tukijadiliana hapa hatutaelewana kamwe....
Basi twende hivi hivi... Ila mfumo huu wa namna hiyo umeshafeli mkuu.

Sioni sababu ya binadamu kulaumiwa aidha kwa kutenda mazuri au kutenda mabaya kwa yaliyo kwenye uwezo wake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda hao ndio wametumia %nyingi zaidi ya hizo 10%..mi najiona kama msindikizaji duniani hapa naishia kufarijika na maneno kama huwezi jua kila kitu na huwezi kutojua kila kitu.natembea na Mungu
 
Tatizo ni freedom tuliyodai km Tanzania walivyodai uhuru.Hadi sasa wanaona manyota,bado wanapambana kujiita wapo huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…