haha..nadhani hujanielewa kwa vile nimeweka mambo mengi.Labda tuu nikuulize perfection ya Mungu inahusiana vipi na mapungufu ya binadamu,mwenye uhuru na kiburi?(mojawapo za roots of evil ni greed, pride,).Huko kuwa perfect ndioko kunamfanta ashindwe ishi na evil.Na kama ni huruma Mungu kafanya Huruma sana kwa binadamu, kafanya maaganao mengi sana nao,ila binadamu kayavunja,bado yeye ndiye anayekuja kututafuta na kuanza tena mengine.
Kukasirika kwa haki si kosa ila ni ukamilifu.Nadhani mara nyingi umeshaona watoto wakililia haki ya kupewa urithi wao, na uhuru wa kutumia wapendavyo, wazai wanaona kabisa mwanao hawezi kutumia hizo mali kwa busara ila hawawezi vunja sheria na kumnyima au hata kumyima uhuru.Ila baadaya wanasikia mwano kawekwa ndani kwa kupigana baa, kaleta hasara na pengine kaua mkewe.Sidhani kama hutokuwa na hasara.Je unadhani hata kama unajua kuwa mwanao hawezi yatazama maisha,nin utafanya kwa haki wakati mwanao mwenyewe hajui kuwa baada ya hapo mambo yatakwenda mwaribikia kabisa?Na hata kama anajua ila kayapenda hayo maisha, na akakuambia kwanini unamhukumu na hujaona akikosea utamjibu nini?Huwezi mhukumumu mtu kabla hajatenda ,hata kama unajua akitenda atasababisha hasara kubwa.Watu wana abuse sheria makusudi, hujaona watu hawaheshimu sheria ikiwabana,ila wanaitumia ikiwa inawasaidia?mahakama haiwezi sema sikupi sheria kwa vile huitambui.