MwanaFA anatufundisha nini?

MwanaFA anatufundisha nini?

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
909
Reaction score
3,476
Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.

Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.

Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.

Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG

Chagua marafiki vizuri

images%20-%202023-03-24T070535.045.jpg

Suala la bangi liacheni kama lilivyo tu wanetu.

Mbona wapo wanautumia huo mmea na ni viongozi wetu wakubwa tunao hadi ma MD

Bangi haihusiani na mafanikio au kutofanikiwa kwa mtu maishani

SIjapinga uvutaji wa bangi mkuu ila nimesema Mwana FA hajawahi kuvuta bangi ,wapo viongozi wakubwa tu wanapuliza mneli.
 
Watanzania wengi wana chuki sana na watu wanaofanikiwa kwa kuwa mnawafahamu kidogo mtashinda mitatandaoni kuwachafua tuu mnachopenda ni kuona anapata tabu kama wewe harafu uandike uzi wa uongo kuonyeshwa kuguswa na tabu zake kumbe unatupakia rangi tuu huku moyoni mwako ukifurahia wapo wanaomchukia Diamond kisa wanamjua toka alivyokua mchimba chumvi.
 
Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.

Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.

Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.

Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG

Chagua marafiki vizuri

View attachment 2563477
Labda ana mbeleko indirect.
 
Huyo Gwamaka unajua yuko wapi au unajiongelea tu
 
Back
Top Bottom