MwanaFA anatufundisha nini?

MwanaFA anatufundisha nini?

Watanzania wengi wana chuki sana na watu wanaofanikiwa kwa kuwa mnawafahamu kidogo mtashinda mitatandaoni kuwachafua tuu mnachopenda ni kuona anapata tabu kama wewe harafu uandike uzi wa uongo kuonyeshwa kuguswa na tabu zake kumbe unatupakia rangi tuu huku moyoni mwako ukifurahia wapo wanaomchukia Diamond kisa wanamjua toka alivyokua mchimba chumvi...

Na niliwahi kuandika thread hapa, watanzania tuko watu wa ajabu sana , ujamaa ni uchawi na ndio maana wajamaa wote usoni ni watu mioyoni wamejaa chuki, ukitaka uishi vyema bongo watu waone matokeo tu na wasijue mipango ikoje,
 
Watanzania wengi wana chuki sana na watu wanaofanikiwa kwa kuwa mnawafahamu kidogo mtashinda mitatandaoni kuwachafua tuu mnachopenda ni kuona anapata tabu kama wewe harafu uandike uzi wa uongo kuonyeshwa kuguswa na tabu zake kumbe unatupakia rangi tuu huku moyoni mwako ukifurahia wapo wanaomchukia Diamond kisa wanamjua toka alivyokua mchimba chumvi...
96%hata humu wako hivyo
 
Back
Top Bottom