Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Hii ndo pointKuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely
Suala la bangi liacheni kama lilivyo tu wanetu.Mwana FA hajawahi kuvuta Bangi.
Dis track kwake wakati wameimba wote?Apo umepuyanga,dis track kwake ni YAHAYANje ya mada
Nasikia Ile nyimbo ya jide wanaume Kama mabinti ilikuwa ni diss track kwake
Suala la bangi liacheni kama lilivyo tu wanetu.
Mbona wapo wanautumia huo mmea na ni viongozi wetu wakubwa tunao hadi ma MD
Bangi haihusiani na mafanikio au kutofanikiwa kwa mtu maishani
Hapo sawa. 💯🤝SIjapinga uvutaji wa bangi mkuu ila nimesema Mwana FA hajawahi kuvuta bangi ,wapo viongozi wakubwa tu wanapuliza mneli.
Labda ana mbeleko indirect.Toka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.
Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.
Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG
Chagua marafiki vizuri
View attachment 2563477
Huyo Gwamaka unajua yuko wapi au unajiongelea tuToka mitaa ya Upanga Kilombero ama Kalenga kuvuta bangi na washikaji mpaka Mjengoni. Muite MwanaFA.
Kuna muda ukitaka kutoboa kwenye haya maisha kuna maisha inabidi uyakatae na baadhi ya marafiki uwakatae completely.
Kwa maisha walioishi akiwa East Coast MwanaFA binamu asingefika hapa alipo kama angeendelea kubaki kule.
Ugomvi wake na GK na kundi la East Coast ndio umemfanya kubadili dira ya maisha huku king Crazy GK akiwa bado na mtazamo ule ule wa kuwa Gangster real OG
Chagua marafiki vizuri
View attachment 2563477
GK akigraduate na wanae wa kitambo Mzee wa commercial na binamu wamekuja kufurahia nayewote waliona shule Ina umuhimu pia,ndio kilichowasaidia