King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Dis track kwake wakati wameimba wote?Apo umepuyanga,dis track kwake ni YAHAYA
Hakuna kitu kama hicho, alisoma diploma ya bima. Kwa kukusaidia tu, fuatilia prospectus ya chuo kwa mwaka huo 2007 utapata majibu sahihiNimekujibu ulivyosema unazo taarifa za ndani ,sasa mimi nimekujibu mimi siyo kwamba nimepewa taarifa la hasha mimi nimemuona anasoma na akamaliza(Ame graduate) na nilienda kwenye graduation kavaa hadi joho.
Umeulizwa na Asprin imekuwaje akasoma Masters bila kuwa na Degree(Advance Diploma)? Hatupo hapa kubishana mbona "Kantrewedi" aka "wudilendi" ana Phd na wala hatujamdiss ingawa tunatofautiana kimtazamo? Nimekwambia amesoma class moja na mshikaji wangu na mimi nilikuwa nikienda room kwa mshikaji nawakuta na Mwana FA wanfanya discussion ,huyu mshikaji wangu na yeye ana Advance Dip.
Hakuna kitu kama hicho, alisoma diploma ya bima. Kwa kukusaidia tu, fuatilia prospectus ya chuo kwa mwaka huo 2007 utapata majibu sahihi
Ok okFa kaoa ana miaka 37
Sitaki kumdhalilisha Boss wenu, hujui kutumia mtandao? Ingia website ya IFM kisha tafuta prospectus ya mwaka 2007 imeunganishwa na mahafali ya wahitimu kwa kozi husika.Kwakuwa wewe una taarifa basi ni vyema ukaziweka hapa tuzione ili utu prove wrong,Gwajima alianika wazi matokeo ya Daudi Albert Bashite hivyo ikaondoa utata wa shule ya Makonda.
Sitaki kumdhalilisha Boss wenu, hujui kutumia mtandao? Ingia website ya IFM kisha tafuta prospectus ya mwaka 2007 imeunganishwa na mahafali ya wahitimu kwa kozi husika.
Elimu ya chuo huwezi kumficha mtu, sio kama hiyo ya sekondari ya Makonda
Wewe ni juha, nimekueleza usimzungumzie mtu ambae humjui. Si kila masters ni masters, mengine hupaswi kuyajuaSasa kama hautaki kumdhalilisha na hayo unayoyasema si unamdhalilisha vile vile? Kama hauna proof ni bora ukatulia ,umeulizwa Masters aliipataje bila kuwa na degree?
Nani kakwambia kwamba Diploma ni mwaka mmoja? Hujui km kuna vyuo vinafanya DL1 & DL2 au huna habari hio, Diploma ni miaka 2 sio 1Mkuu Mwana FA alisoma Advance Diploma IFM ,Labda ni Typo kwenye web ya bunge! Nilikuwa naenda IFM kumtembelea jamaa yangu alikuwa anasoma naye Advance Dip......Halafu Dip ni mwaka mmoja tu , Advance Dip ni miaka mitatu.(eqvnt 2 Degree)
But why kuhangaika na maisha ya mtu ambaye fact zake hazina impact kwenye maisha yakoKwenye diploma hakuna SUPP? Niamini ndugu nakupa taarifa za jikoni kabisa hapa, au unataka nianike hadi matokeo yake ya semister aliyo supp hadi kujikuta anatumia miaka yote hiyo kuhitimu diploma?
Nani kakwambia kwamba Diploma ni mwaka mmoja? Hujui km kuna vyuo vinafanya DL1 & DL2 au huna habari hio, Diploma ni miaka 2 sio 1
Brother IFM CBE NIT UD UDOM MU MUST to mention a few Diploma ni miaka 2 sio 1Nazungumzia IFM sizungumzii hivyo vyuo vyenu vya kina Joseph Msukuma na Tale Tale.
Wewe ni juha, nimekueleza usimzungumzie mtu ambae humjui. Si kila masters ni masters, mengine hupaswi kuyajua
Alikuwa chawa wa Ruge, mahasimu wote wa Ruge alikuwa anawasagia kunguni kwa huyo bosi wake. Hata US alikuwa na uadui mkubwa na Sugu kisa ni kwamba Sugu nakuwa na beef ni Ruge.Ilikuwaje mpaka yeye ndiyo akaimbwa Yahaya? Alikuwa na bifu gani na Jide?
Brother IFM CBE NIT UD UDOM MU MUST to mention a few Diploma ni miaka 2 sio 1
Yes of course unataka kusemaje? Au mpaka tukuletee prospectus ya hio miaka ndio uamini?Kwahiyo Mwaka 2000-2004 IFM/CBE Dip ilikuwa miaka 2?
Yes of course unataka kusemaje? Au mpaka tukuletee prospectus ya hio miaka ndio uamini?
Subiri niingie maktabaTunaongea kwa facts na siyo kufurahisha baraza,kama una prospectus ya mwaka 2000-2004 za IFM/CBE ungeweka ingependeza sana tuone kwamba Dip ilikuwa miaka miwili.
Subiri niingie maktaba