King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Dis track kwake wakati wameimba wote?Apo umepuyanga,dis track kwake ni YAHAYA
Asichokijua ni kwamba Lady Jay Dee na FA walikuwa wana sana na wamefanya track nyingi sana kabla Jasiri Muonga Njia hajawagombanisha......Track nyingi walitoa kabla hawajagombana......JIDE kapiga chorus nyingi sana za FA na kolabo za kutosha.