MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva

Your browser is not able to display this video.

Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
 
Alafu kesho wanakuja na kauli zao za kishamba "wahuni wachache waliotumwa walitaka kuharibu sshow lakini mama anapendwa na watu wote walifurahi"

Hawa jamaa hivi hawakai vikao chemba wakawa wanatathmini kuwa wananchi wamechoshwa na hii wanayoita awamu ya 6?

Yani kiongozi amekataliwa kuliko watangulizi wake wote ila wao Kila siku ni kumuuza wakati hauziki hata kwa bei ya jioni!!
 
Hupo na kaka zako hapa.Tulishakwambia hii project ni CCM.
Kuna mada hapa zimezimwa na tapeli ni mbunge na walishakuwa wabunge,na wengine wametumiwa na CCM
 

Watu wametoa pesa zao Wayne burudani wewe unaleta siasa.
 
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…