hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Busara ya Babu Tale imeokoa jahazi otherwise angeharibu show ,watu hawataki kisikia siasa maana wanajua ni UPUUZI.
Watu hawataki kusikia serikali ya awamu ya sita na sio siasa,
Ukisema tu mambo ya serikali ya awamu ya sita, watu wanatoka na mapanga 😄