MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva

Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Mamaeee zake anahisi wajinga wenzake wa HANDENI
 
Nyimbo zenyewe za wahuni wahuni mikelele mingi wamejaaa Mapepo tu

Mausiku yote haya wapo kama Mapopo Akili zitatokea wapi😇😇

Ikijengwa iyo Arena yenyewe ayo ayo Mapopo yataenda kujaza umo na kumsifia Rais wetu

muda ndio Mwalimu ✍️
 
Back
Top Bottom