Da nchi hii tulipo fika pabaya tuone tulikosea wapi tukae tusahihishe makosa yetu naona hatari kubwa iliyoko mbele yetu
Hatari ya nn wakaandamane tena na kufanya matukio kama yale waone kama Shaba hazikutumika👈
Wataelewa tu niwao ndio wamezingua💥👈
Da nchi hii tulipo fika pabaya tuone tulikosea wapi tukae tusahihishe makosa yetu naona hatari kubwa iliyoko mbele yetu
Mwanzoni chawa walikuwa wakimdanganya kwamba anakubalika, ila hivi sasa amefahamu fika watu wanamchukia..Na huyu ndo atakuwa rais wa kwanza kukumbukwa kwa mabaya tu
Mwana FA ametamka Serikali ya awamu ya 6, watu wametaka kumshusha kwenye stejii... Ni katika tamasha la miaka 30 ya muziki wa Bongo Flava
ni ruksa kujipa moyoNyimbo zenyewe za wahuni wahuni mikelele mingi wamejaaa Mapepo tu
Mausiku yote haya wapo kama Mapopo Akili zitatokea wapi😇😇
Ikijengwa iyo Arena yenyewe ayo ayo Mapopo yataenda kujaza umo na kumsifia Rais wetu
muda ndio Mwalimu ✍️
Hali ni mbaya SM!si umezomea gentleman au ni porojo tu 🤣
Watu hawataki kusikia serikali ya awamu ya sita na sio siasa,
Ukisema tu mambo ya serikali ya awamu ya sita, watu wanatoka na mapanga 😄
Kigali wana kiangazi?Kigali
Acha kupoza kilichotokea. Kilichotokea ni kwamba watu hawataki kusikia habari za ccm na sio habari za siasa. Acha kupozapoza uhalisiaWatu wametoa pesa zao Wayne burudani wewe unaleta siasa.
Haisafishiki hata Kwa jiki
Wanataka kuleta siasa kila sehemu hawa wapuuziWananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
ni ruksa kujipa moyo
ila ikijengwa na akatoka madarakani inabomolewa na nchimbi
Mpuuzi watu wanataka burudani sio hotubaWananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Watu gani ndio wale walevi 🤣
wale wapo hoi kwa pombe ❗️
Mapopo tu
Ya mjini
Siku Arena ikifnguliwa yenyewe ayo ndio yatajaaa na kumsifia Rais Samia💪
sisi tunawajua Mapopo wa mjini 👈