MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Hii ni hatari sana ,maSISIEMU hawaon hatari iliyopo mbele ,haiwezekani serikali ichukiwe namna hii.....wakae chini wajitafakari.

Nilikuwa naangali Vlog kutoka Rwanda naona Kagame yupo mbali sana kimaendeleo ingawa wanasema kwamba nchi yao ni ndogo ,mbona DAr na yenyewe ndogo lakini ipo kama DAMPO?

Kagame jiji zima la Kigali hakuna vumbi ni lami, garden na pavements.
Acha ndugu yangu nilifika Kigali aise ni kama upo mbele
 
MIDADA imelewa ni pombe tu ndio zimewatuma kuzoza zoza sipendi kuwadhalilisha zaidi.

Lkn tunawajua Mapopo wa mjini👈

lkn baadae wakatulia Show ikapendeza na kina AY GK nk. Sio poaa 👈
 
Alafu kesho wanakuja na kauli zao za kishamba "wahuni wachache waliotumwa walitaka kuharibu sshow lakini mama anapendwa na watu wote walifurahi"

Hawa jamaa hivi hawakai vikao chemba wakawa wanatathmini kuwa wananchi wamechoshwa na hii wanayoita awamu ya 6?

Yani kiongozi amekataliwa kuliko watangulizi wake wote ila wao Kila siku ni kumuuza wakati hauziki hata kwa bei ya jioni!!
Msigwa hapo tayari kajiandaa kuja kutolea ufafanuzi
 
Back
Top Bottom