StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Alafu kesho wanakuja na kauli zao za kishamba "wahuni wachache waliotumwa walitaka kuharibu sshow lakini mama anapendwa na watu wote walifurahi"
Hawa jamaa hivi hawakai vikao chemba wakawa wanatathmini kuwa wananchi wamechoshwa na hii wanayoita awamu ya 6?
Yani kiongozi amekataliwa kuliko watangulizi wake wote ila wao Kila siku ni kumuuza wakati hauziki hata kwa bei ya jioni!!
Hatari wanaiona sana ndio maana wanatapatapa kutafuta namna za kujinusuru na hiyo hatariHii ni hatari sana ,maSISIEMU hawaon hatari iliyopo mbele ,haiwezekani serikali ichukiwe namna hii.....wakae chini wajitafakari.
Nilikuwa naangali Vlog kutoka Rwanda naona Kagame yupo mbali sana kimaendeleo ingawa wanasema kwamba nchi yao ni ndogo ,mbona DAr na yenyewe ndogo lakini ipo kama DAMPO?
Kagame jiji zima la Kigali hakuna vumbi ni lami, garden na pavements.
Bahati mbaya ukiwa mwovu unachokiogopa ndicho kitakachokukuta!