Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Njoo Mlimani City hapa MkuuOya wap apooo
Nakaa polini sana nyee
Njoo Mlimani City hapa MkuuOya wap apooo
Nakaa polini sana nyee
si umezomea gentleman au ni porojo tu 🤣Ok nini Sasa?
Watu wamekichoka chama tawala!Hatari sana.
Miaka 30 ya bongo Fleva imeenda vizuri lakini mambo yameingia Dosari baada ya Mwana FA kuingiza siasa kwenye burudani na kuambulia kuzomewa.
Hii inamaana gani?
Mazafakas wazomewe mpaka waone aibu hata kuonekana wamevaa nguo za kijani mitaani!Aibu utaona wewe!!
Usiku huu kunafanyika show ya miaka 30 ya bongo fleva.
Mgeni rasmi ni Mwana FA, basi alipopanda jukwaani akaongea vizuri mpaka pale alipoanza kusema serikali ya awamu ya 6, hata hajamaliza watu wakaanza kuzomea.
Ikabidi Mwana FA azuge kuwa tunajenga Arena. Lakini hadhira ikaendelea kuzomea.
Hawataki kusikia na kuelewa kabisa.
Kweli serikali hii ina kazi sana kwenye ushawishi.
Bora Babu Tale na Madee wamemshauri aachane na kuongolea siasa asije akaharibu show.Nilikuwaga shabiki wa FA sana ila tokea limeanza upuuzi wa siasa uchwara naona kama taka taka
Watu wapo kwenye Tamasha unaleta maagizo ya Makonda kwamba atajwe Samia
Britanicca
Hii ni hatari sana ,maSISIEMU hawaon hatari iliyopo mbele ,haiwezekani serikali ichukiwe namna hii.....wakae chini wajitafakari.Da nchi hii tulipo fika pabaya tuone tulikosea wapi tukae tusahihishe makosa yetu naona hatari kubwa iliyoko mbele yetu
ok.🐒
Kuna hii Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwaNimeipenda sanaaa hiyoo😅😅😅
siasa haina shida kabisa shida siasa za uwongo wa ccm na maigizo yao watu ndio hawatakWatu wametoa pesa zao Wayne burudani wewe unaleta siasa.