MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Tukifanya 'analysis' tukio lina maana sana.
1. Kundi la wazomeaji wa kwanza ni wanaoamini kuna jambo halipo sawa katika Nchi! wanatoa sauti zao
2. Kundi la pili ni la waathirika wa mgomo wa Wananchi dhidi ya Wasanii. Kundi hili linajitenga na CCM na Serikali

Kwa MwanaFA, hujadhalilika! si wewe bali ni mfumo unaotumikia ndio umekutana na dhahma.
Kwamba umebahatika kuziona chuki 'reservations'' za kweli katika jamii na sasa zinabebwa na Wasanii ambao kimsingi ni Chawa wa CCM na Serikali.

MwanaFA peleka ujumbe kunako husika kwamba hali kule 'site' si nzuri.
CCM na Serikali zimekuwa isolated na wewe hufahamu ni kwanini. Halafu waachie wenyewe watafakari
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikuta no ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA.

HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Kama angekuwa hajazomewa, usingekuja na huu uzi! Hapa kwanza hata unawafanya hata ambao hawajafuatilia alichosema wakifuatilie, labda kama lengo lako ndio hilo.
Lakini by default kilichotokea kila mtu aliyefuatlia huwezi mdanganya, Dully Sykes mwenyewe alijishtukia ingekuwa uswahilini angepasuliwa chupa na mayai visa!
 

Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 12
Hii project imekuja kwaajili ya kuzima Bongo flavour Honor ya Sugu.

Imeandaliwa kisiasa na ipo chini ya CCM kumsafisha Nduli Idd amin Mama.

"Mwana FA amezomewa kwa aibu kuba mno, ingekuwa Ulaya angewajibika".

HII INAONYESHA KWAMBA WATANZANIA CCM IMECHOKWA HAITAKIWI INAPINGWA NA KILA AINA YA WATU, GENZ, JANA ILIKUWA MILENIA.
 
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva


Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
wamelipwa na mabeberu hawa wazomee
 
Back
Top Bottom