Sema hata yeye alijichanganya kujistukia angeepotezea na kuendelea kuongea. Ingawa ukweli hakuna serikali sahivi, huo ndiyo ukweli watanzania sahivi km watoto yatima Rais siku hizi haongelei kabisa matatiz ya wananchi amejiweka mbali sana. Sasa hivi kila sehemu ni vilio kilo ya sukari sh 5000, karibu kila bidhaa imeongezeka bei. Wamiliki wa vyombo vya usafiri wamejiongezea nauli wanavyoona wao inafaa kuanzia asilimia 50 waziri Prof. Makame Mbarawa yuko km msukule hakuna siku amezungumzia changamoto ya usafiri na usafirishaji yuko pale kukinga pesa za miradi mikubwa km ujenzi wa SGR, Meli, Bandari, Viwanja vya ndege. Samia yuko kuiibia Tanganyika sijui km huu muungano utaendelea baada ya Samia! Na bado watazomewa sanaWananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Huyu mwana FA mwijuma nani sijui. Ndo yule mwana siasa kijana aliyetajwa na prof Asad kwamba ana magari mapya ya kifahari . Unajua mjuba kayapata wapi anajua Samia na maigizo yake?kwasababu watu walikua wana shangilia sanaaaa kupita kiasi
Una ugonjwa ule ule alionao Samia.
Huoni aibu hata unaposhushuriwa.
Ulaghai ni tamaduni yenu.
Sasa hapa unajiona leo umemfanyia kazi Samia na utadai kulipwa!
Kama alishangiliwa ikawaje akashindwa kuongea alichotaka kuhusu serikali ya mama yako?
Sasa matukio ya burudani halafu mnaletaje uchuro na porojo humo!!
Kama mnajenga si mjenge ukamilike tuone wenyewe!! Why mgande kuambia watu everyday??
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Kwenye siasa hilo jambo dogo mnooo, ni nyumbu tu kwakuwa mnatamani sana mabaya yatokee ndo mnakuza sana. Kina macron wamepigwa mpaka vibao na kurushiwa mayai, we unazungumzia zomea za nyumbu waliolewa?!!! Hata hivyo, hoja yake MwanaFA kuwa Kuna bonge la arena linajengwa imesikika na muda sio mrefu hiyo zomea ya nyumbu waliojipanga hapo ukumbini italipwa kwa vigelegele vya furaha siku ya kufunguliwa hiyo arena. Musiyempenda anaendelea kuvunja rekodi Moja baada ya nyingine........ni kumbukumbu nzuri mno baadae akishatoka; Kuna nyumbu kadhaa humu zitatamani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, arudi tena.Kwa hiyo ikiwepo madarakani ndio nini? Kuwepo madarakani inahusiana na nini na kuzomewa mwana FA?
Wewee, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, siyo mshamba wa kuumizwa na kajambo kadogo kama hako, yule ni mtoto wa mjini kitambo na anazijua siasa enyi nyumbu muelewe. Mipango yake inasonga kama kawa hivyo nyumbu jiandaeni tu kuwa killed softly.Boss wake samuya atanuna,watasusa kujenga na hiyo arena ya mchongo.
Unajidhalilisha bure tu kwa huu ujinga ulioandika hapa, Mwana FA kazomewa live hadi akaajistukia na kubadili gia angani wote tumeona na kusikia , unachofanya ni sawa na kukipulizia kinyesi manukato, wahenga tunasema la kuvunda halina ubani.Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Walikua wanabubujikwaBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Mavi ya uharisho ananuka huyu mwanamke mshenzIvi ashawahi kutokea rais akawa hapendwi kama samia?
Huyu mama ananuka mavi