MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Na wenyewe Viongoz Eti ndio
tumaini i la mizwazwa ya Ubungo Mikondoo iliopotea bin Walokole wenye Pepo chafu✍️
 
Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 10
  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 9
Aliyataka mwenyewe...

Badala ampandishe Vanessa Mdee waimbe wote wimbo wa -'..DUME SURUALI..'[ naupendaga sana..],wanese nese na kupishana pishana kama walivyocheza kwenye Video yao ,watu tu enjoy,akaleta U CCM tena....!!?

Mie nilimurushia chupa ya maji nikiwa nimeyachanganya na Mkojo..,ashukuru haikumpata.

...'aa-ahh..kwani CCM ina TV ndani mpaka tuipende tuu....aah Dume Suruali-..Baki na hamu yako ya CCM..Angemalizia VANESSA...
 
Sio siasa , watu hawaitaki Ccm, hasa waliosaini au walioruhusu watu wauliwe October 29, watu Bado Wana machozi kwenye macho Yao, hasira Bado hazijaisha,

Ccm watapata sana tabu kwenye uchaguzi wa 2030, kama walitabiriwa wanakosa kiti Cha uraisi ndio hii Sasa, hakuna anayewataka, na wakijaribu kuiba kura nchi itachafuka na haitakaa ipate amani yake Tena, wameuliwa watu wengi sana 029 na wengine ni ndugu zetu, watoto zenu, mama zetu nk

Kuna kijamaa kimwanajeshi Kagera mama yake mzazi amepigwa risasi siku ya O29 na kufa hapo hapo

Vyama pinzani vitulize akili tu, vikileta mapepe raisi atatoka upande wa wananchi
 
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Jifariji kifala!
 
Oya,hivi we mzima kweli kichwani?
 
Back
Top Bottom