MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva

Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Hivi Tanzania haiwezekani kufanya matamasha ya kijamii bila kuingizia usenge wa mambo ya ccm?
 
Viongozi wao ✝️ 🫎🫎bado hawana Madaraka lkn tayali wanakashfa za Ufisadi 😂😂 kondoo waliopotea watatupeleka Utumwani upyaaa kama hawa ndio Viongozi wao kwenye mioyo yao🤠
 
Attachments

  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 13
  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 12
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva

Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Mpuuzi huyo alitaka kuleta siasa watu wamechoka
 
Back
Top Bottom