Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,664
😂😂😂kwani na wewe ni UVveggies?Gentleman,
Hii ni aibu kubwa sana kwenye chama chetu. Tumeaibika.
Nimechutama. Vinyeo vya chama vimefunuliwa laivu.
😂😂😂kwani na wewe ni UVveggies?Gentleman,
Hii ni aibu kubwa sana kwenye chama chetu. Tumeaibika.
Nimechutama. Vinyeo vya chama vimefunuliwa laivu.
ok.Mom🐒MENE MENE TEKELI NA PERESI..usipuuzie
SWa sawa, wamepata ujumbeAsante sana.japo ni aibu yenye furaha
na wao ni wapumbavu zaidi,unakaaje na walevi usiku.Ile midada imelewa tayali ndio kaambiwa ivyo na Babu Tale!
ikabidi hawapotezee tu✍️
Ikijengwa iyo Arena iyo iyo midada itajaaa umo 🤠🤠
sina maoni 🐒Gentleman,
Hii ni aibu kubwa sana kwenye chama chetu. Tumeaibika.
Nimechutama. Vinyeo vya chama vimefunuliwa laivu.
Juzi kwenye sabasaba ukanidanganya.sina maoni 🐒
Nakuhakikishia wangesikia anasema Tundu Lissu ameachiwa au Polepole amepatikana wangeshangilia...Ninachopendea Walevi na wanywaji wakiwa kwenye burudani na starehe hawataki siasa wala mahubiri ya dini 😄😀
nitakuwepo tena J3 ndio tuone mazingira na namna ya kukupatia dawa ya hiyo changamoto yako 🐒Juzi kwenye sabasaba ukanidanganya.
Upwiru umekaba koo!
Gentleman,nitakuwepo tena J3 ndio tuone mazingira na namna ya kukupatia dawa ya hiyo changamoto yako 🐒
Ok.🐒Gentleman,
Ahsante sana kwa wema wako.
Nakusubiri kwa hamu na gamu.
Kichwa chako kama begi la menoHatari ya nn wakaandamane tena na kufanya matukio kama yale waone kama Shaba hazikutumika👈
Wataelewa tu niwao ndio wamezingua💥👈
Mwana F.A ana hela gani ya kujenga Arena mpaka atambie watu!??!Achaneni na Siasa za kizamani nyie CCM..Kwenye siasa hilo jambo dogo mnooo, ni nyumbu tu kwakuwa mnatamani sana mabaya yatokee ndo mnakuza sana. Kina macron wamepigwa mpaka vibao na kurushiwa mayai, we unazungumzia zomea za nyumbu waliolewa?!!! Hata hivyo, hoja yake MwanaFA kuwa Kuna bonge la arena linajengwa imesikika na muda sio mrefu hiyo zomea ya nyumbu waliojipanga hapo ukumbini italipwa kwa vigelegele vya furaha siku ya kufunguliwa hiyo arena. Musiyempenda anaendelea kuvunja rekodi Moja baada ya nyingine........ni kumbukumbu nzuri mno baadae akishatoka; Kuna nyumbu kadhaa humu zitatamani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, arudi tena.
Unauliza uwepo wa madarakani ndo nini'?!!! Jibu rahisi uwepo wa madarakani:-
- ndo mamlaka,
-ndo uwezo wa kuzuia nyumbu kuivuruga nchi kupitia ugashp wao unaoitwa maandamano,
-ndo maendeleo yanayopigwa,
-ndo uzuiaji wa ushoga wa unataka kuletwa kutoka ubelgiji n.k.
HahahaAliyataka mwenyewe...
Badala ampandishe Vanessa Mdee waimbe wote wimbo wa -'..DUME SURUALI..'[ naupendaga sana..],wanese nese na kupishana pishana kama walivyocheza kwenye Video yao ,watu tu enjoy,akaleta U CCM tena....!!?
Mie nilimurushia chupa ya maji nikiwa nimeyachanganya na Mkojo..,ashukuru haikumpata.
...'aa-ahh..kwani CCM ina TV ndani mpaka tuipende tuu....aah Dume Suruali-..Baki na hamu yako ya CCM..Angemalizia VANESSA...
Leo.Umeanza lini na wewe u Swahili?
Tungewaambia kwamba tumeliandaa kisiasa mngekuja?😀Sawa mmelianda kisiasi sisi ambao tumekuja kwaajiri ya music na pesa zetu mmechukua?!.
Ewe nyumbu uliyechanganyikiwa Hadi hujisikii unapoongea, hajasema atajenga yeye Wala hakulitaja jina la Samia maskini ya Mungu; aliitaja serikali tu. Au serikali Haina pesa ewe nyumbu?!!!!!Mwana F.A ana hela gani ya kujenga Arena mpaka atambie watu!??!Achaneni na Siasa za kizamani nyie CCM..
Hao wanaozomea wanajua ujenzi wa Arena ni matokeo ya kodi zao..
Siyo Rais wala Waziri,wanajenga kwa hela yao ya mfukoni.
Ni kama maji, kama hawayaogi, watawanywa