Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
MwanaFA alidhani pale uwanjani wamejaa machawa wa humu jukwaani akina Lucas Mwashambwa na nyuzi zake za "Mheshimiwa Rais anasikitika", Dr wa Manesi na mapambio yake yasiyo na break, au yule mzee wa sifa na ngonjera za kizamani Tlaatlaah! Alidhani wamejaa watu wa kupiga makofi ya "Kazi iendelee" hata pale maisha yanapobana. Amepotea njia vibaya sana! Pale walikuwepo wananchi halisi wa mtaani wanaokutana na hali halisi, sio wabeba mabango wa mtandaoni wanaolipwa buku saba saba.
Ujumbe uwafikie CCM na genge lenu la chawa: mambo hayawi yaleyale kila siku, na mtaji wa ujinga umeringana! Wananchi wa sasa hivi wameamka, hawataki propaganda za kishabiki kwenye majukwaa ya burudani, na siyo wapumbavu kama akina Lucas Mwashambwa, Dr wa Manesi, na Tlaatlaah wanaoishi kwa kusifia kila kitu kijinga. Wakati wa kuwaburuza watu kama mazuzu umepitwa na wakati, na hiyo sauti ya dhihaka mliyofanyiwa uwanjani ndio ukweli mchungu unaowasubiri mtaani!