Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hii inaitwa kukaa uchi ukweni!Waliozomea ni mamluki wa CHADEMA
Hii inaitwa kukaa uchi ukweni!Waliozomea ni mamluki wa CHADEMA
Poleni sana, mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, is here to stay!!Hatutaki wauji na majambzzi
Sio vizuri kuendekeza ugali binafsi kwenye masuala ya makubwa yanayogusa umma.Ni mambo ya ugali tu mkuu tustahimiliane
au wewe unamuweza nikuazime bunduki ukamalize
😄😄😄😄😀Mzee uko fasta sana, jamaa kaona aache kuongea alichotumwa 🤣🤣🤣🤣 watu wametoka na mapanga
Babu Tale hana busara zozote, ni mwizi wa kura tu kama wengine.Busara ya Babu Tale imeokoa jahazi otherwise angeharibu show, watu hawataki kusikia siasa maana wanajua ni UPUUZI.
Hao ni ChoiceVariable Stroke funaku na StuxnetKuna watu wanatamani wangezomewa chadema 😆 Yan ukiongea mambo ya serikali ya awamu ya sita mbele za watu unaweza kupigwa 😄
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Umeanza lini na wewe u Swahili?Woyooooooo🤣🤣🤣
Alifikiri anaongea na wazee wa mkoa wa dsm kama walivyozoea.Sitaki mpaka mniskilizee
Je alskilizwa???
Sawa mmelianda kisiasi sisi ambao tumekuja kwaajiri ya music na pesa zetu mmechukua?!.Yamkini tamasha liliandaliwa kisiasa. Who knows?
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Na maccm walivyo magenius waseme hao wote ni Chadema 😭😭😆😂Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva