MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

una mipasho yakike sana wakati mimi ni mwanaume...nini maana ya watu kumzomea waziri ? Na pia lilipotajwa Jina la makonda napo wakazomea?
acha mbaambaa nyumbu wewe
ule ulikuwa ni mkutano wa CCM, mkizomea mnafanikisha nini zaidi ya unyumbu tu
 
Mnapendaaa kutengenezewa picha 🤠
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
kwani hakukua na siasa? mwana FA alifanyaje mpaka kuzomewa?
Bc ww mwnyw huelewi ulichosema, ww umesema kwani mpo live? huo muda si Bora uingie bangbros

Ndio nikakuambia watu wamefuata burudani sio siasa, FA ameleta siasa ndo mana amezomewa.
 
Si walizuia watu kuandamana kwa kujaza policcm mitaani ?

Haya sasa hapo polisi walikua wapi kumsaidia wasimzomee?
 
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Kwee! kweli kashangaliwa mpaka kashindwa kumalizia hoja yake.🤪🤪🤪
 
Viongozi wao ✝️ 🫎🫎bado hawana Madaraka lkn tayali wanakashfa za Ufisadi 😂😂 kondoo waliopotea watatupeleka Utumwani upyaaa kama hawa ndio Viongozi wao kwenye mioyo yao🤠
Vp ripoti ya CAG?
Halafu hizo hela za tonetone tunachanga sisi watumie wanavyotaka nyie haiwahusu matako yenu
 
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva


Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.

Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''

Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Mwana FA akamatwe kwa kutumia jukwaa hilo kumdhalilisha RAIS..
Anafaham fika upepo wa kisiasa akaamua kufanya ujingaa
 
Back
Top Bottom