Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
eleza.
eleza.
just porojo gentleman, relax 🐒eleza.
Chadema na issue zao za NEGATIVITY,watu wanashangilia kwa shangwe,chadema wanasema wanazomea quite different!Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Mtamzania wa leo siyo was kuburuzwa kama miaka ya 80.Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Mkuu umejisikiaje hapo? Umeamini kuwa bila bunduki ccm ni wepesi kama kilomoja ya pamba?Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga
Watanzania japo ni wajinga ila uungwana wanao!Kuna mtu atakuja kupigwa chupa ya kichwa shauri yenu 😂 😂😂
SerikaliMwanaFA au serikali?
Thubutuu!Kwa hiyo leo hatupigi simu tuweke loudspeaker tusikie Sauti kutoka Ikulu 😡
Weka video tuone ukweli kisha tuwazomee wazushiBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Wewe utaishi milele!Kwa kosa lile mkirudia mtakufa tena
Hatuchekaji na Kima👈
Tatizo Posho keshakula mkuu😂Sasa wewe ***** unabisha nini sasa? Hadi video ya kuzomewa huyo chawa mwenzio imewekwa, unabisha nini sasa?
Kwani akizomewa we inakuuma nini? Tuliza makalio kafanye mambo yako acha kutetea wanaume wenzioBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
We tayari ni LOFA unaongelea nchi ambayo haipo kwenye ramani ya dunia km siyo lofa ni nini, nani atakuelewa we bwege?CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikuta no ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,
8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.
9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.