MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Weka video tuiangalie tuone uongo wako
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikuta no ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA.

HAKUNA ALIYE SALAMA.

Chadema ndioo kwanza hawana Serikali lkn matendo ndio ayoo‼️

watanzania sio wajinga kwenye kuchagua ✍️
 

Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 15
  • 20260522_081856.jpg
    20260522_081856.jpg
    53.6 KB · Views: 10
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Duuuh
 

Attachments

  • cb.jpg
    cb.jpg
    150.1 KB · Views: 12
  • 20250902_065338.jpg
    20250902_065338.jpg
    258.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 12
Yeyote anayewapamba wauaji, ni shetani, hivyo ni sahihi kabisa kuzomewa.
Hata kama wananchi hawana bunduki kama walivyo wauaji, basi hata kwa midomo yao waweke wazi kuwa kamwe hawaungi mkono ushetani unaofanywa na watawala waliojipachika kwenye madaraka.

Hongereni sana wananchi, mmetimiza sehemu ya wajibu wenu dhidi ya wadhulumu haki na wapambe wao.
 
Viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasafi kama sufi nyeupe ✅️
 

Attachments

  • 1783737014417.jpg
    1783737014417.jpg
    53.7 KB · Views: 10
Kwenye siasa hilo jambo dogo mnooo, ni nyumbu tu kwakuwa mnatamani sana mabaya yatokee ndo mnakuza sana. Kina macron wamepigwa mpaka vibao na kurushiwa mayai, we unazungumzia zomea za nyumbu waliolewa?!!! Hata hivyo, hoja yake MwanaFA kuwa Kuna bonge la arena linajengwa imesikika na muda sio mrefu hiyo zomea ya nyumbu waliojipanga hapo ukumbini italipwa kwa vigelegele vya furaha siku ya kufunguliwa hiyo arena. Musiyempenda anaendelea kuvunja rekodi Moja baada ya nyingine........ni kumbukumbu nzuri mno baadae akishatoka; Kuna nyumbu kadhaa humu zitatamani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, arudi tena.

Unauliza uwepo wa madarakani ndo nini'?!!! Jibu rahisi uwepo wa madarakani:-
- ndo mamlaka,
-ndo uwezo wa kuzuia nyumbu kuivuruga nchi kupitia ugashp wao unaoitwa maandamano,
-ndo maendeleo yanayopigwa,
-ndo uzuiaji wa ushoga wa unataka kuletwa kutoka ubelgiji n.k.
Ndio mauaji haya,mpuuzi ww
 
Back
Top Bottom