Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mama sijui atakua na hali gan bora angemuacha azae tuHatari sana
Mwehu mno, kamuua mwanae kwa upumbavu wakeMama mwehu
Hapana ila hayo ni matokeo ya kukwepa majukumu, kukwepa kuwajibika.Kwani kuzaa ni kubaya!?
Mama alinia mema lakini mjukuu hakuwa tayari.. Silent screams[emoji25]
Huyo mama ni wakuwajibishwa kisheriaWakamatwe wote
Mjukuu kagoma kufa mwenyewe, sijui huyo mama ana hali gani. Baba kanihuzunisha sana 😔Mama alinia mema lakini mjukuu hakuwa tayari.. Silent screams[emoji25]
Wengi hutoa wakidai ni aibu kwa familiaMbona sasa ni ruhusa kujifungua na kuendelea na masomo Kwa nini mimba itolewe?
Huyo mwanae si angetulia yote hayo yasingempata, so kwakuwa unaogopa mwanao kuitwa single maza ni sahihi kutoa mimba?Aliogopa mwanae kuitwa singlemom....maana kama kusoma mbona wanaruhusiwa kusoma hata wakipata watoto
limetokea uko Meru sioWengi hutoa wakidai ni aibu kwa familia
Marehemu na mama yake?Wakamatwe wote