Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

Yaani pamoja na kwamba sasa wanajifungua na serikali bado inawasomesha buuuure hadi chuo kikuu, bado wazazi wanafanya huu unyama🙆🙆🙆🙆
 
Wengi wameifanya hivyo, yawezekana hili limetambulika kwa sababu amekufa lakini yawezekana hata mke uliyenaye alitoa ila kwa sababu ni Siri Yao na wanawake Wana Siri nyingi ndio haikufahamika.
Wapo wengi tu wanafanya haya, kuna mama mmoja aliwahi funga safari kwenda chuoni kutoa mimba ya binti yake. Ilikuja bainika baada binti kuzidiwa sana ikabidi wamtaarifu baba mzazi ambae mkewe alimdanganya.
 
Back
Top Bottom