Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

Aliogopa mwanae kuitwa singlemom....maana kama kusoma mbona wanaruhusiwa kusoma hata wakipata watoto
Huyo mwanae si angetulia yote hayo yasingempata, so kwakuwa unaogopa mwanao kuitwa single maza ni sahihi kutoa mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…