...Omba TU Yasikukute..!Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..
Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sio lazima atoke kijijini mkuu ushamba ni tabiaNinaongelea kitu kimoja kama mtanielewa ni hivi !! Mapenzi yako overrated sana haswa maeneo ya chuoni hata elimu ya chuo sasa watu wako na ushamba wakifika wanajiona ndo wamemaliza Maisha yaani vi miaka 4-5 unajikuta unajua mambo mengi sana...eti kuwa chuo bila ya demu haiwezekani? Vijana kutoka kijijini anafikria ivyo kafika dar anajikuta kamaliza Maisha kabisa!!
Chuo unaweza kuwa uko serious na mambo yako huna kesi na mtu ,kwa mtazamo wangu makazini miaka ijayo visa ya mapenzi vitakuwa vingi mno watu kumalizana maana hao wanafunzi ndo wafanyakazi wa baadae
Mi nilivyokua chuo nikiwa na uhakika wa kulamba nyapu tu nakua relaxedMimi wakati niko chuo niliachana kabisa na huu ujinga. Maana niliona madhara yake mapema.
Wanafunzi, chonde chonde!! Wekezeni nguvu zenu katika masomo. Haya mapenzi yapo tu!
Muoneni sasa huyu mwenzenu! Ndoto zake zote zimeshaharibika kwa sababu tu ya kuchanganya masomo na mapenzi.
Sawa...We sio mwanaume
Ume tu oa somo zuri sana Ningependa kukuelewa zaidi MkuuMtiririko wa matukio ya kikatili kwenye mahusiano au ndoa inatokana na wanaume kuacha kile ambacho Mungu alituusia namna ya kuishi na wanawake....na kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuacha kufuata maelekezo ya aliyemuumba......
As long as asubuhi naamka nimesimamisha..najiona mwanaume tu tena mwenye afya njema..We sio mwanaume
Unaweza simamisha asubuhi sawa ila kuna kitu kitakuwa hakiko sawa ,inaweza kuja kuathiri ndoa yako baadae.hebu lifanyie kazi hiloAs long as asubuhi naamka nimesimamisha..najiona mwanaume tu tena mwenye afya njema..
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yote haya mkuu yanahitaji kuwa na mipaka kwa kiasi kikubwa ,nafikiria ukiwa na mipaka maeneo yote kuanzia urafiki ,wafanyakazi wenzio mpaka majirani zako mambo haya yataisha..Mapenzi ya kazi au vyuoni yaantoka kuwa attached na mtu watu fulani nadhani utakuwa umenipata!! Kisaikolojia unaweza kuishi na watu au mwanamke kama mwanafunzi mwenzio na usimpenda au asikupenda ila ule ukaribu wako na yeye ndani ya miezi kadhaa unajikuta kashakaa kweny akili yako hii ni nature ya ubongo wa binadamu....Shida iko hapa.
Mmoja anapokuwa anahitajiwa na kuoendwa Sana na watu na upande wa pili nigga bebe hazina mpango nae hapa lazima kitokee kitu.
Sumu mmoja kupendwa Sana na watu wapembeni, chuki na wivu lazima vije.
kumbe tupo na wanetu humu Jf!Sio wew tu , Mimi Nina 25 sijawahi na wala sijui kupenda .lkn mbususu nachakata kama kawaida
Alafu wanauana kikatili sana vifo vya maumivuKuna upepo mbaya wa mauaji umeipitia hii nchi!
Umeongea "point" tupu mkuu,na hiki ndicho vijana wengi wanachofeliMtiririko wa matukio ya kikatili kwenye mahusiano au ndoa inatokana na wanaume kuacha kile ambacho Mungu alituusia namna ya kuishi na wanawake....na kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuacha kufuata maelekezo ya aliyemuumba......
Ni mfano wa mashine inayokuja na kitabu Cha maelekezo ya namna ya kuitumia kutoka kwa aliyeitengeneza.......hayo maelekezo hupewi kwa kuwa anakupangia matumizi ya kifaa chako ulichonunua kwa pesa yako bali kwa ajili ya usalama wa hicho kifaa ili kikufae kwa muda mrefu na kwa usalama wako wewe ambaye ni mtumiaji wa hicho kifaa.......
Kuishi kwa akili na wanawake maana yake ni kuwaza na kuyatazama mambo au hali ilivyo mbele yake na kuchukua hatua wakati yeye bado amelala kwenye usingizi wa hisia......
Ndio maana kuna wakati mwanamke kihisia anaweza kukuzuia kwenda kwenye mihangaiko kwa kuwa anahitaji kuwa na wewe kwa kuwa anakupenda lakini wewe kwa kutumia akili yako na kuangalia jukumu lililopo mbele yako kama baba wa familia unaamua kutumia nguvu kumtoka na kwenda kutafuta ridhiki......
Vijana waache kuwaza na kuishi kama wanawake katika ulimwengu wa hisia bali warudi kwenye akili zao na hapo ndipo watakarejewa na fahamu zao na kufanya maamuzi sahihi pasi na kuelemewa na msukumo wa moyo........
Ukiweka hisia pembeni na kutumia akili zako utaona viashiria na muelekeo wa ndoa yako au mahusiano yako na hapo ndipo utakapo lazimika kushindana na msukumo wa moyo wako na kufanya maamuzi sahihi yatakayo kuepusha na majuto kwako na kwa wapendwa wako.........
Word is enough for the wise.....
Wamchome sindano ya sumu tu.
Area 51 inakuhusu mzee 😀Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..
Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..
Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app