Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
...Omba TU Yasikukute..!
 
Ninaongelea kitu kimoja kama mtanielewa ni hivi !! Mapenzi yako overrated sana haswa maeneo ya chuoni hata elimu ya chuo sasa watu wako na ushamba wakifika wanajiona ndo wamemaliza Maisha yaani vi miaka 4-5 unajikuta unajua mambo mengi sana...eti kuwa chuo bila ya demu haiwezekani? Vijana kutoka kijijini anafikria ivyo kafika dar anajikuta kamaliza Maisha kabisa!!

Chuo unaweza kuwa uko serious na mambo yako huna kesi na mtu ,kwa mtazamo wangu makazini miaka ijayo visa ya mapenzi vitakuwa vingi mno watu kumalizana maana hao wanafunzi ndo wafanyakazi wa baadae
Sio lazima atoke kijijini mkuu ushamba ni tabia
 
Mimi wakati niko chuo niliachana kabisa na huu ujinga. Maana niliona madhara yake mapema.

Wanafunzi, chonde chonde!! Wekezeni nguvu zenu katika masomo. Haya mapenzi yapo tu!

Muoneni sasa huyu mwenzenu! Ndoto zake zote zimeshaharibika kwa sababu tu ya kuchanganya masomo na mapenzi.
Mi nilivyokua chuo nikiwa na uhakika wa kulamba nyapu tu nakua relaxed
 
Mtiririko wa matukio ya kikatili kwenye mahusiano au ndoa inatokana na wanaume kuacha kile ambacho Mungu alituusia namna ya kuishi na wanawake....na kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuacha kufuata maelekezo ya aliyemuumba......
Ume tu oa somo zuri sana Ningependa kukuelewa zaidi Mkuu
 
wakina mama wapendeni watoto wenu wa kiume,ili muipore nafasi ambayo inaweza chukuliwa na mabinti wanaopelekwa na upepo wa wa kisasa.

wababa wapendeni mabinti zenu na kuwajali ili kuziba mianya ya vijana wa hovyo kuja kuwavuruga na kuwapeleka mbio.

hakuna jambo baya kama kupigwa tukio na mpenzi ambaye hana mbadala moyoni.
 
Tuwe na mipaka katika kupenda.....mpende mtu kwa kiwango cha wastani, kinyume chake ndio huleta hizi changamoto 😬😬
 
Shida iko hapa.
Mmoja anapokuwa anahitajiwa na kuoendwa Sana na watu na upande wa pili nigga bebe hazina mpango nae hapa lazima kitokee kitu.
Sumu mmoja kupendwa Sana na watu wapembeni, chuki na wivu lazima vije.
Yote haya mkuu yanahitaji kuwa na mipaka kwa kiasi kikubwa ,nafikiria ukiwa na mipaka maeneo yote kuanzia urafiki ,wafanyakazi wenzio mpaka majirani zako mambo haya yataisha..Mapenzi ya kazi au vyuoni yaantoka kuwa attached na mtu watu fulani nadhani utakuwa umenipata!! Kisaikolojia unaweza kuishi na watu au mwanamke kama mwanafunzi mwenzio na usimpenda au asikupenda ila ule ukaribu wako na yeye ndani ya miezi kadhaa unajikuta kashakaa kweny akili yako hii ni nature ya ubongo wa binadamu....

So ishu ya kupenda au kupendana na mtu maeneo ya kazi ni wewe akavyokuwa na ukaribu na ndivyo ubongo wako utajikuta unampenda mtu ...so hapa panahitaji mipaka mi binafsi najua udhaifu maana saikolojia naijua ya binadamu kuepuka ni kukaa mbali na uache mazoea la sivyo utajikuta unampenda mtu automatic kama alivyo.
 
Mtiririko wa matukio ya kikatili kwenye mahusiano au ndoa inatokana na wanaume kuacha kile ambacho Mungu alituusia namna ya kuishi na wanawake....na kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuacha kufuata maelekezo ya aliyemuumba......

Ni mfano wa mashine inayokuja na kitabu Cha maelekezo ya namna ya kuitumia kutoka kwa aliyeitengeneza.......hayo maelekezo hupewi kwa kuwa anakupangia matumizi ya kifaa chako ulichonunua kwa pesa yako bali kwa ajili ya usalama wa hicho kifaa ili kikufae kwa muda mrefu na kwa usalama wako wewe ambaye ni mtumiaji wa hicho kifaa.......

Kuishi kwa akili na wanawake maana yake ni kuwaza na kuyatazama mambo au hali ilivyo mbele yake na kuchukua hatua wakati yeye bado amelala kwenye usingizi wa hisia......

Ndio maana kuna wakati mwanamke kihisia anaweza kukuzuia kwenda kwenye mihangaiko kwa kuwa anahitaji kuwa na wewe kwa kuwa anakupenda lakini wewe kwa kutumia akili yako na kuangalia jukumu lililopo mbele yako kama baba wa familia unaamua kutumia nguvu kumtoka na kwenda kutafuta ridhiki......

Vijana waache kuwaza na kuishi kama wanawake katika ulimwengu wa hisia bali warudi kwenye akili zao na hapo ndipo watakarejewa na fahamu zao na kufanya maamuzi sahihi pasi na kuelemewa na msukumo wa moyo........

Ukiweka hisia pembeni na kutumia akili zako utaona viashiria na muelekeo wa ndoa yako au mahusiano yako na hapo ndipo utakapo lazimika kushindana na msukumo wa moyo wako na kufanya maamuzi sahihi yatakayo kuepusha na majuto kwako na kwa wapendwa wako.........

Word is enough for the wise.....
Umeongea "point" tupu mkuu,na hiki ndicho vijana wengi wanachofeli
 
Mimi nadhani sio binadamu wa kawaida ...na miaka yangu hii 23 sijawahi fall in love wala sijawahi mpenda mwanamke yoyote...I see them nothing to me..
Mniombee tu..

Lakin watu mpaka wanauana kisa wivu ? Mimi huwa nishangaa sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Area 51 inakuhusu mzee 😀
 
Hiyo kitu pia mimi sina kabisa walahi
Mwanaume ni mwanaume tu kwangu walahi
 
Back
Top Bottom