Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

 

Attachments

  • Screenshot_20220909-100720.png
    14 KB · Views: 2
Huyo muuaji anatibiwa ili ashtakiwe na kuja kuhukumiwa kifo....

Jamii imejaa roho ya ukatili
 
Duh habari mbaya hizi jana mbeya wanafunzi na leo huko.Wapi shida ilipo?
 
ila mapenzi jamani ? 🙌

halafu mtu anaweza akafanya kitu cha ajabu kwa sababu ya mapenzi ukamuona fala kabisa hana akili.

ila jamani omba yasikukute wewe yasikie tu kwa jirani.
 
Huu ndio uandishi wa mwananchi na magazeti mengi nchini.
Siwezi kununua gazeti kama hili!

Wivu wa mapenzi ndio nini?

Alifumaniwa,alhisiwa tu anachepuka?au alimsaliti hadharani,au nini kilitokea?

Maana wivu wa mapenzi ni kitu ambacho hakieleweki ni nini!
Wengine inaweza kuwa tu kutojiamini kutokana na kutomfikisha mapenzi wake ikamfanya akaingiwa na temporal insanity akaua akihisi tu mwenzi wake anatoka
 
Hilo swala ni Pana sana mno!! Kuna mambo mengi huno.
 
😂😂😂Maisha yataendelea kuwa magumu ukichanganya na mapenzi ona huyo jamaa wazazi washapata hasara miaka 26...Katika umri huo ubongo unatakiwa kuwa active na kuwa na kiu ya maendeleo kuwa na malengo mengi kisomi zaidi sio kubadili wanawake kama tabia ya kijana inavyoonyesha ni mtu wa totoz kwa sana.


Siku moja naomba wakubwa humu watoe mada kwa sababu huo ni ujana una mapitia mengi na majuto mbeleni..Demu yuko sahihi naona jamaa alikuwa utoto mwingi usela nnya
 
Namna YAKO ya Upendo inatoa picha Ni namna Gani ulikuzwa utotoni..

Aliyeuwa Huenda alikuwa neglected as a kid, Baba alimtenga au mama ... Hakuwahi pewa Upendo Unaostahili ..

Hajui kuwekeza hisia zake , Hana Marafiki ... Ako na poor reasoning .. nk ..

Hiyo ni case nyingine Kisaikolojia ..

Wazazi Tunaplay part Kubwa Sana kwenye Namna wanetu wanavyobehave.


Mlee mwanao vyema
 
Natangaza rasmi nyege ni janga la nne la taifa.
Kila mtu aelewe madhara ya nyege.
 
Hawa ndio wanatakiwa wakapigiwhwe shere jela hadi wapate akili maana huyo alikuwa anaigiza hakutaka kufa..

Kwa nini asijilushe kutoka juu ya ghorofa hadi chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…