Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la saba

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la saba

Hongera zake
Akifika form two kuendelea ndio ataijuia hesabu
 
Kwa jinsi zilivyonitoa kamasi,sioni noma kama tutaungana ili tuje tuziapply kwenye maisha baada ya wewe kumaliza shule,

Come on baby.

*ustawi msinitafute,ni katika kubalance equation.

Sent from my radio
 
Mtumishi kwa kumbukumbu zako, hesabu ulikuwa unapata ngapi hivi?

90+ kama sijakosea vyema mkuu unaweza uliza 1996 ay ya additional class pale st anthony mpwa wanaweza kupa kumbukumbu ....sijui wewe mtumishi na kwa kweli shida ilikuwa kipinfdi hiko walimu awataki kutoa 100 sababu waataonekana awajui wanachofanya mkuu
 
upo wiwa basi tukamilishe ada ya huyu mtooto mpwa kutokea jf ukitoa nusu na mie nusu tunaiwakilisha jf swadkta

nb

karibu usikose uzinduzi wa chopper hapo jumapili mkuu
 
Enzi zetu nakumbuka tulikuwa hatupewi viwango vya ufaulu wa masomo baada ya kumaliza shule ya msingi.

Ilikuwa ni ama umefaulu na kuchaguliwa kujiunga sekondari au hukufaulu. Mambo sijui ya A, B, na F hayakuwepo.

But it's been a minute!
 
90+ kama sijakosea vyema mkuu unaweza uliza 1996 ay ya additional class pale st anthony mpwa wanaweza kupa kumbukumbu ....sijui wewe mtumishi na kwa kweli shida ilikuwa kipinfdi hiko walimu awataki kutoa 100 sababu waataonekana awajui wanachofanya mkuu

Mimi hesabu ilikuwa kama mama mkwe kwangu.
 
Hongera sana,tena amesoma shule ya serikali.
 
km waliopata 50/50 wapo zaid ya 30 xo hapo wametumia kigezo gn kumpat yy

Continuous assessment ...zinakuwa considered pia....ukute hao wengine walikua na average ndogo ktk test ...so huenda yy aliwazidi
 
Back
Top Bottom