nyavalungu
Member
- Dec 13, 2013
- 38
- 37
Safi sana,sasa ajipange vizuri na elimu ya Sekondari,ingekuwa nchi za wenzetu huyu angekuwa anafuatiliwa na kuwezeshwa kufikia malengo muhimu ya nchi lakini hapa baada ya sifa na vijizawadi visivyo na maana mtoto huyu hutomsikia tena labda afanye tena vizuri Sekondari.
Unaweza kuta kapangiwa shule ya kata kule Kisarawe nyuma kule na kipaji chake kikafia huko. Mungu mlinde mtoto huyu, anaweza kuja kutuokoa huko tuendako.