Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la saba

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la saba

nadhan itakuwa ni continous acessment kama ulivyomsikia mwalimu wake. la nimependa uandishi wa gazeti. good coverage
 
Ikiwa ni majuma machache tangu mwanafunzi Rachel Ibrahimu Kiunsi atangazwe kama ni mmoja Wa wanafunzi vinara katika somo la Hisabati.. wewe ungeshauri wanafunzi hawa wafanyiwe nini ili kuwafanya wawe bora siku zote?.
 
mitihani yenyewe ya kuchagua elimu yetu inashuka kwa kasi
 
Back
Top Bottom