Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la saba


Unaweza kuta kapangiwa shule ya kata kule Kisarawe nyuma kule na kipaji chake kikafia huko. Mungu mlinde mtoto huyu, anaweza kuja kutuokoa huko tuendako.
 
Beauty with brains...kazuuuriiii kenyewe....the way she smiles ....oooooohhh...God Protect her..afikie ndoto zake
 

Attachments

  • 1415373903940.jpg
    19.5 KB · Views: 483
Mimi nimeshahifadhi jina lake sehemu, 2018 nitaangalia matokeo yake ya Form 4, namuomba mungu atuweke salama mimi, yeye na wana JF tuliofurahishwa na matokeo yake, manake hizi ajali za magari zinatumaliza, kila siku humu JF hapakosekani ajali ya gari tena iliyoua, sijui ifunguliwe ya Ajali Forum!
 
Continuous assessment ...zinakuwa considered pia....ukute hao wengine walikua na average ndogo ktk test ...so huenda yy aliwazidi

Nijuavyo mimi,(ndivyo ilivyo)kwa shule za msingi huwa hawazingatii kitu hicho(continous assessment)
 
Alama za juu kivip wakati alama ya juu kabisa ndo hiyo 50,na waliopata 50/50 wapo 30? Sasa yeye kaongoza kwa kigezo gani hapo?Nawaomba waandishi wa habari hiyo watupe ufafanuzi tafadhal.
usanii tuu halafu ni multiple choice.Yaani watawala wanawadharau sana wananchi
 
Hongera binti mzuri kwz kusona kwa bidii bila kuringia uzuri wako.
 
Alama za juu kivip wakati alama ya juu kabisa ndo hiyo 50,na waliopata 50/50 wapo 30? Sasa yeye kaongoza kwa kigezo gani hapo?Nawaomba waandishi wa habari hiyo watupe ufafanuzi tafadhal.

Waii mimi sitaki hata kujua
 

Allahu Akbar. Mwenyezi Mingus amtangulie Hugh mtoto NA aweze kufanya vizuri zaidi katika ngazi ya sekondari. Aendelee kutia bidii katika masomo na kuzidisha heshima kwa waalimu. HONGERA SANA DOGO I HOPE YOU WILL STILL DO WELL.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…