M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Nov 9, 2014 #61 nadhan itakuwa ni continous acessment kama ulivyomsikia mwalimu wake. la nimependa uandishi wa gazeti. good coverage
nadhan itakuwa ni continous acessment kama ulivyomsikia mwalimu wake. la nimependa uandishi wa gazeti. good coverage
mwilongo Aron Senior Member Joined Oct 15, 2014 Posts 109 Reaction score 54 Nov 21, 2014 #62 Ikiwa ni majuma machache tangu mwanafunzi Rachel Ibrahimu Kiunsi atangazwe kama ni mmoja Wa wanafunzi vinara katika somo la Hisabati.. wewe ungeshauri wanafunzi hawa wafanyiwe nini ili kuwafanya wawe bora siku zote?.
Ikiwa ni majuma machache tangu mwanafunzi Rachel Ibrahimu Kiunsi atangazwe kama ni mmoja Wa wanafunzi vinara katika somo la Hisabati.. wewe ungeshauri wanafunzi hawa wafanyiwe nini ili kuwafanya wawe bora siku zote?.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Nov 21, 2014 #63 Apige mapindi kwa mtegetwa au mchikichini au kule kwa ustadh
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Nov 21, 2014 #64 Waendelezwe kwa msaada wa hali na mali
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Nov 21, 2014 #65 mitihani yenyewe ya kuchagua elimu yetu inashuka kwa kasi