Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

Natamani niache kulinda mipaka ya nchi niingie kufundisha halafu uwalete hao wanao shuleni niwaonyeshe kazi nione utanifanyeje .
Ah kwenda zako huko askari kanzu wewe!

Unajitia una uchungu na nchi kumbe hasira za mshahara duni.

Hauwajibiki kwa yeyote. Acha kiherehere.

Zaa wa kwako umpige mateke. Na ukimpiga tunakukamata kukuadabisha pia.
 
Vipi, uliendelea na shule?
 
Acha wivu mwalimu.
 
Aisee...
Kwa jinsi ninavyochukia walimu wa kibongo, kama angekuwa mtoto wangu, ningetandika walimu wote kila mmoja kwa wakati wake bila kumwambia sababu....
Sina shukrani yoyote kwa walimu wote walionifundisha bongo ... ni mijinga yote...
Hata usiposhukuru utawapunguzia nini? Akili tu ya kuku uliyonayo na haitakusaidia. Jinga sana wewe.
 
Mwanafunzi lazima ale mkong'oto wakisawasawa, hata akirudi anachechemea ni sawa, hakuna kufuga ujinga

NASEMA WALIMU TEMBEZENI BAKORA, PIGENI KISAWASAWA MPAKA MAKALIO YA HAO WANAFUNZI WASIO WATII YAVIMBE

Unaonaje tukikutana mimi na wewe tuzichape laivu?

Unaonekana mtamu sana wewe kwenye ku-TIWA kichapo.

Nikunyooshe vizuri mpaka uandike barua ya kustaafu.
 
Ah kwenda zako huko askari kanzu wewe!

Unajitia una uchungu na nchi kumbe hasira za mshahara duni.

Hauwajibiki kwa yeyote. Acha kiherehere.

Zaa wa kwako umpige mateke. Na ukimpiga tunakukamata kukuadabisha pia.
Kwenda zako mbuzi asie na mkia

Una nini Cha kunifanya wewe?

We have our own court
 
Huna unachujua we [emoji205] nyie ndo wale wakufuliwa chupi mpaka ukubwani she..zi wahed
Halafu kwanza wewe hauna hata vigezo vya kitaaluma vya kufundisha mtu yeyote.

Nyie ndio wale walimu wa shule ya msingi mliookotwa kutoka miongoni mwa mazezeta yaliyofeli vidato.

Ahsante serikali imeanza kuwafyeka taratibu taratibu.

Mnatia aibu.
 
Unaonaje tukikutana mimi na wewe tuzichape laivu?

Unaonekana mtamu sana wewe kwenye ku-TIWA kichapo.

Nikunyooshe vizuri mpaka uandike barua ya kustaafu.
Naona unatamani sana hashtags zianze kusambaa twitter, baada ya kukunyoosha, sawa [emoji1] challenge accepted njoo hapa kazima tupige stori mbili tatu
 
Walimu ni vizuri mkawa wepesi wa kutafakari kuwa ninyi pia ni wazazi na huenda hao watoto wenu wakaja kufundishwa na wanafunzi haohao mnaowashushia hivo vipigo sasa!
Aidha ni vema kukumbuka pia kuwa ualimu ni taaluma nyepesi kuifikia na inatoa ajira kwa watu wengi kila mwaka, Hivyo sio ajabu kabisa baada ya miaka michache ukajajikuta mko ofisi moja mnasegua na kugongesha glasi za chai na mtu aliyekuwa mwanafunzi wako, sasa kama mambo yalikuwa ya kuchapana namna hiyo utaficha wapi sura yako??
 
Kachapwa fimbo chache sana,angepigwa hata 100 hakuna shida,walimu ndio wamesomea fani hiyo.
Ni sawa na ww mleta mada tukulaumu kwa kunyandua mkeo goli 2.
Acheni watu wafanye kazi zao kama unaona kaonewa basi mchukue na umfundishe ww hapo home kwako.
 
Ahsante sana mzazi unayejitambua
 
Asee ni atari hapo magonjwa kama ukimwi au gonorrhea kusambaa ni kama moto msituni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…