Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Ah kwenda zako huko askari kanzu wewe!Natamani niache kulinda mipaka ya nchi niingie kufundisha halafu uwalete hao wanao shuleni niwaonyeshe kazi nione utanifanyeje .
Unajitia una uchungu na nchi kumbe hasira za mshahara duni.
Hauwajibiki kwa yeyote. Acha kiherehere.
Zaa wa kwako umpige mateke. Na ukimpiga tunakukamata kukuadabisha pia.