Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Unatetea uovu wa mwanafunzi.Sasa hivi una muona hana akili, ila subiri mamlaka zichukue hatua ndiyo utajua kuwa jamaa ana akili au hana akili. Au subiri huyo mwanafunzi apatwe na madhila mabaya zaidi ndiyo utajua reaction ya watu. Atakaye teseka ni mwalimu/walimu waliohusika na hilo tukio. Walimu sijui hawajifunzi kutokana na matukio ya siku za nyuma. Pia nyakati zimebadilika sana. Kila kimebadilika sana, na mabadiliko huwezi kuyazuia wewe. Suala la fimbo sikatai ila fimbo 20 hapo Hapana. Times have changed. Hatuwezi kuendelea kuishi kwa kutumia akili na nadharia za karne ya 20. Sasa hivi ni karne ya 21 kaka. Dunia imebadilika kwenye kila eneo pamoja na kwenye namna ya kutoa adhabu. Sasa wamemchapa huyo mwanafunzi, nini wamenufaika? Na hii habari aliyoanzisha huyo jamaa itaelea kama upepo. Huna uwezo wa kuzuia siku hizi kutoa habari kwa sababu kila mmoja amepewa platform ya kutoa habari. Wasalam
mleta hoja aliegemea kulalamikia walimu bila kueleza uhalisia watukio lenyewe.
Shule sio kanisani kwamba mwanafunzi afanye vile anataka..kuchapa atachapwa tu no way out mkuu.