Mczigga
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 722
- 1,272
Bro hivi ushawai kukaa chini na kuongea na mabinti hasa hawa walio sekondari na wakakuambia ukweli kabisa wa maisha yao wanayoishi wao kwa wao hasa wakike wanaotumia simu wanaoishi bweni au hata nyumbani?Huo ulimbukeni upo ata kwa watoto wa ulaya. Shida inaanzia kwenye familia.
Wewe kama mzazi uliishawai kaa na watoto wako ukawapa elimu juu ya gadgets za mawasiliano (simu, computer, internet nk) ? Uliishawai wapa nafasi ya kutumia vifaa vya mawasiliano huku ukifatilia kwa ukaribu? Na jua utajibu "NO" bas ata ww na utu uzima wako ukiletewa kitu kipya ambacho ulikuwa unazuiliwa kukitumia mda kwa mda mrefu lazma utakuwa limbukeni.
Kuna wengine wameanza kutumia simu toka kitambo tu na wengine iyo elimu wamepata ya matumizi mazuri ya vifaa vya teknolojia lakini Mkuu bado wanachofanya ni madudu yaani hao watoto wanaishi kimakundi yani kama kaoza mmja basi wote nao ni hivyo hivyo asee ni changamoto sana.